Tingi aliishi na bibi yake.
Tingi lived with his grandmother.
Tingi aaleikala na banakulu.
Alizoea kuchunga ng’ombe na bibi yake.
He used to look after the cows with her.
Aaleafwa banakulu ukucema iŋombe.
Siku moja wanajeshi walikuja.
One day the soldiers came.
Ubushiku bumo abashilika balishile.
Wakawachukua ng’ombe.
They took the cows away.
Baasendele iŋombe no kuya nasho.
Tingi na bibi yake walikimbia na kujificha.
Tingi and his grandmother ran away and hid.
Tingi na banakulu baalibutwike babelama.
Walijificha kichakani hadi usiku.
They hid in the bush until night.
Baabeleme mu mpanga mpaka bwaila.
Wanajeshi walirudi tena.
Then the soldiers came back.
Abashilika balishile na kabili.
Bibi alimficha Tingi chini ya majani.
Grandmother hid Tingi under the leaves.
Banakulu baafishile Tingi panshi ya mabuula.
Mwanajeshi mmoja alimkanyaga, lakini akanyamaza kimya.
One of the soldiers put his foot right on him, but he kept quiet.
Umushilika umo aanyantile Tingi, lelo Tingi aalifye tondolo.
Wanajeshi walipoondoka Tingi na bibi yake wakajitokeza.
When it was safe, Tingi and his grandmother came out.
Lintu abashilika baile, Tingi na banakulu balifisamwike.
Wakajikongoja kimya kimya kurudi nyumbani.
They crept home very quietly.
Baile ku ŋanda umutalalila.